Utajiri mwingi umefichwa kwenye maandishi!
Siri kubwa ziko kwenye maandishi!
Hekima nyingi imefichwa kwenye maandishi!
Sasa wale wavivu wa kusoma, wanaotaka kuangalia picha,
imekula kwao!
Siri kubwa ziko kwenye maandishi!
Hekima nyingi imefichwa kwenye maandishi!
Sasa wale wavivu wa kusoma, wanaotaka kuangalia picha,
imekula kwao!
Hata viungo muhimu vya mwili vimefichwa!!
moyo umefichwa ndani, ubongo umefichwa ndani!!
moyo umefichwa ndani, ubongo umefichwa ndani!!
Utaniambia Minna Matee Mboya, hata miguu na mikono ni muhimu, ndio sijakataa,kila kiungo kina umuhimu wake lakini levo ya umuhimu unatofautiana!!
Unaweza kuishi hata kama huna mikono, lakini huwezi kuishi kama huna moyo.
Unaweza kuishi hata kama huna miguu, lakini huwezi kuishi kama huna ubongo!!
#Hazina kubwa imefichwa kwenye maandishi!
No comments:
Post a Comment