Ilianzia Nairobi nchini Kenya mwaka 2004,na ina maono ya kuwa na usiku mmoja wa Kuomba,Kusifu na Kuabudu katika Africa ifikapo mwaka 2017.
Vison ya AFLEWO: " To stir up the hope of Jesus across Africa through annual events of Praise, Worship and Prayer by 2017"
Mnamo tarehe 3-5-2013 pale BCIC Mbezi Beach itakuwa ni usiku wa aina yake katika Kumsifu na Kumwabudu Mungu ambapo Aflewo Mass Choir yenye waimbaji zaidi ya 90 watapaza sauti zao wakiimba sifa kwa Mungu.
Usikubali Kukosa!
PICHANI NI TEAM YA AFLEWO MASS CHOIR WAKIWA KATIKA MKESHA WA MAZOEZI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA USIKU WA AFLEWO 2013 KATIKA KANISA LA DPC KINONDONI HAPO JANA..
No comments:
Post a Comment