Kama ilivyo kawaida kila jumapili ya mwisho wa mwezi tunakusanyika pale DPC kinondoni kwa ajili ya ibada kubwa ya kusifu na kuabudu, ambapo tunapata muda nzuri ya kumsifu na kumwabudu Mungu. Ndivyo ilivyokua pia jumapili hii ambapo wakazi wa Dar walikusanyika na kumsifu na kumwabudu Mungu.
Ilikua jioni ya tofauti kwa sababu uwepo wa Mungu ulikuwepo wa ajabu na watu walikutana na Mungu kwa namna ya tofauti.
Rivers of Life Worship Team wakiongoza watu katika kumsifu Mungu
No comments:
Post a Comment