Tuesday, April 2, 2013

8th ANNIVERSARY YA MATAMASHA YA KUSIFU NA KUABUDU DPC Kinondoni, JUMAPILI YA PASAKA ILIKUA YA TOFAUTI



Siku ya Pasaka ilikua ni siku ya tofauti sana hasa kwa Dar es salaam Pentecostal Church (DPC) Kinondoni kwani ilikua pia siku ambayo waliadhimisha miaka Nane tangu kuanzishwa kwa Ibada za kila mwisho wa mwezi za kusifu na kuabudu zinazoongozwa na Rivers of Life Worship team mnamo mwaka 2005. Na kubwa zaidi ilikua ni mara ya Pili kuangukia jumapili ya Pasaka toka matamasha haya kuanzishwa mnamo mwaka 2005.
 
Pastor Paul Safari ambaye ni Mchungaji katika kanisa la DPC na ambae pia ni Mchungaji wa Praise and Worship anayelilea kundi hilo la Rivers of Life alisema Wanamshukuru sana Mungu kwa kuwawezesha kufikisha miaka 8 tangu kuanzishwa kwa Ibada hiyo ya kusifu na kuabudu hapo kanisani.
 
 Aliongezea kwa kusema tangu imeanza kila mwezi umekua wa tofauti na mwezi uliopita, na kila aliyeenda mwezi huu, hakuweza kukosa mwezi ujao. Wameuona mkono wa Mungu katika ibada za kila Mwezi na Mungu amekua mwaminifu kwao.
Wamepokea Shuhuda nyingi sana zilizotokana na Ibada hizo,
 na wanamrudishia Sifa na Utukufu Mungu kwa yote.
 
 
Rivers of Life Worship Team wakiwa madhabahuni
 
 
 


Pastor Paul Safari(Kulia) akielezea jambo  akiwa na mtafsiri Boniface Mrosso
 
 
 

AFLEWO 2013 team wakiimba katika  tamasha hilo
 
 

Ma MC wa siku hiyo Judith (kushoto) na Mhtunzi.
 


Watu wakimsifu Mungu
 
 

mashati bluu viti bluu, sijui ndio ilikua rangi ya siku..
 

Kwaya ya Faith Singers ya hapo hapo DPC wakiimba
 

Pastor Blessed akimwabudu Mungu, kweli alikua baraka kama jina lake
 


Pastor Julius Kenyamanyara akielezea jambo akiwa na mtafsiri Judith.
 
 

 
 

DPC Dancing group walimsifu Mungu kwa kucheza nao.
 


 

          Dancing team wakienda sawa
 
.
 
 
Kazi haikua ndogo..
 
 
Dada Rose akishuhudia jinsi alivyookoka kupitia Ibada hizi za mwisho wa mwezi


Kaka nae akishuhudia alivyokutana na Mungu kupitia Ibada hizi
 
 
 

Pastor Bale akienda sawa na Keyboard hapo


Pastor Julius na Jade Kenyamanyara




Shuhuda zaidi zilitolewa..

watu weweeeeeeeee

Yu Hai Jehovaaa,  Yu hai Mileleeee

Rivers of Life wakimsifu Mungu

Bwana Bwanaaaa

Haleluyaaaa

Kaka Benard Mwenyekiti wa Rivers of Life


Mtumishi wa Mungu John Lissu akilitendea haki gitaa




 

Chezea uwepo wa Mungu..

 




 Joyce na Josephine wakimwabudu Mungu
 
Bwana wastahili Kuabudiwa

Uwepo wa Mungu ulijaaaaaaaaa


 Haleluyaaaaaa
 
 
Ibada hizi hufanyika kila Jumapili ya Mwisho ya kila Mwezi hapo Kanisani DPC Kinondoni kwanzia saa Tisa mchana hadi saa moja jioni.
Karibu Sana!
 

No comments:

Post a Comment

MWAPOTEA KWA SABABU HAMJUI...

Mara nyingi usichokijua huwezi kukifanya wala kukisema! kwa sababu hukijui. Yesu anawaambia wanafunzi wake, baada ya wao kushindwa kujua hat...