Saturday, May 4, 2013

HATIMAYE AFLEWO TANZANIA 2013 KUFANYIKA JANA MAY 3, 2013 PALE BCIC

Ule Mkesha Mkubwa wa Aflewo (Africa Lets Worship) ambao hufanyika mara moja kwa mwaka, umfanyika usiku wa leo katika Kanisa la BCIC Mbezi Beach. Mkesha huo ambao ni Maalum kwa ajili ya Kusifu, Kuabudu na Kuombea bara la Africa Umehudhuriwa na Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam na Vitongoji Vyake.

Mkesha huo ulifunguliwa rasmi na Askofu Sylvester Gamanywa kwa maombezi maalum ya Kuombea Taifa la Tanzania. Pia katika Mkesha huo kulikuwa na team ya watu kutoka Mwanza, Zanzibar na Moshi kwa ajili ya kupata uzoefu wa kuandaa aflewo katika Mikoa hiyo.
 
 Bishop Sylvester Gamanywa  akifungua mkesha
 
 
It was awsome!

Aflewo mass choir


Ma MC wa event wakiwa kazini

Pastor Safari akiongoza wimbo

Pastor Abel akimwabudu Mungu

Madhabahu ya Mungu yamejengwa Tanzania

Jembe la Bwana, Joel  akiwa kazini

Sound team..
 
Music director wa Aflewo 2013, Sammy akiongoza wimbo

Ilikua furaha na shangwe

Dr. Ona akiongoza wimbo wa 'He'a Able'
 
 

Watu people
MTBC praise team ndani ya AFLEWO

Mama Mchungaji MTBC akimsifu Mungu

Dancing team from DPC walikuwepo

The Voice pamoja na Angel Magoti nao walikuwepo

Prohpet Rose Mushi akiongoza maombi

Pastor Dickson wa MTBC Moshi akiongoza maombi

No comments:

Post a Comment

MWAPOTEA KWA SABABU HAMJUI...

Mara nyingi usichokijua huwezi kukifanya wala kukisema! kwa sababu hukijui. Yesu anawaambia wanafunzi wake, baada ya wao kushindwa kujua hat...