Monday, February 4, 2013

ALBUM LAUNCH YA JOHN LISU INAYOKWENDA KWA JINA LA ''UKO HAPA''

Jana Tar 3 Feb 2013 pale City Christain Center- CCC Upanga, tulikua na wakati mzuri katika uwepo wa Mungu, pale ambapo Mtumishi wa Mungu, mwimbaji wa nyimbo za Injili za Kusifu na Kuabudu John Lisu, alipokua anaweka wakfu Album Yake ya Pili inayokwenda kwa jina la UKO HAPA.
Uzinduzi huo uliosindikizwa na Wanamuziki wengine wa Injili kama Cosmas Chidumule, The Voice, Pastor Safari, na Glorious Celebration, lilikuwa ni Tamasha la Aina yake.
 
 
Team ya waimbaji wa John Lisu wakiwa kwenye stage tayari kwa kuanza kazi!
 
 

 



John Lissu akiimba..
 
 na mimi nilikua kwa paleeee

 

 waimbaji wakiwa kazini

kila mtu alikua busy.. 

 Mke wa John Lisu, Nelly Lisu akipiga bass gitaa katika mmoja wa wimbo kwenye uzinduzi huo.
 
 watu kibaoooo

No comments:

Post a Comment

MWAPOTEA KWA SABABU HAMJUI...

Mara nyingi usichokijua huwezi kukifanya wala kukisema! kwa sababu hukijui. Yesu anawaambia wanafunzi wake, baada ya wao kushindwa kujua hat...