UTANGULIZI:
Kitabu cha Ruth kinasadikiwa kuandikwa na Suleiman au Daudi kutokana na kuwepo kwa baada ya maneno ya watu hawa.
WAKATI: Kiliandikwa wakati wa Waamuzi katika Israel.
UKUBWA:Kitabu cha Ruthu kina Sura 4!
SURA YA KWANZA:
Tunamwona kulikua na njaa katika Israel hivyo bwana mmoja aitwae Elimeleki na familia yake wakawa wanakimbia njaa..




Tunamwona kulikua na njaa katika Israel hivyo bwana mmoja aitwae Elimeleki na familia yake wakawa wanakimbia njaa..
Wakaenda katika nchi ya Moab.umbali wa kama mile 30 au mwendo wa siku 7-10 kwa kutembea..


akiamini kupata chakula huko

Walikaa huko na Elimeleki akafa.
Wale wanae wawili wakao wanawake wa Moab..Opra na Ruthu.
; wakaishi miaka 10 ya ndoa.
Baadae wale wanawa Naomi nao wakafa.
Akabaki Naomi na wakweze.
Naomi akaamua kurudi KWAO Bethlehem maana alisikia Bwana ameutembelea mji kwa chakula(njaa imeisha)


.
Nacho kilikua kipindi cha mavuno.
FUNZO:
Elimeleki alikimbia mbali na Mungu(nchi ambapo Mungu aliwapa) kwa sababu ya njaa na badala ya kufanikiwa alikoenda aliishia kukutwa na mauti yeye na wanae..
Tunaona pia Abraham alikimbia njaa kufika Misri mkewe nusu wamuoe,Mungu akaingilia kati
Mwana mpotevu nae alikimbia nyumbani akidhan ataenda kufanikiwa zaidi huko mwishowe alirudi hom mikono mitupu
Uweponi mwa Mungu ni mahali salama hata kama tunaona mambo ni magumu,,tuchikilie tu Bwana atakukumbuka tuuu..huko Moab hakuna jema
KWA UPANDE WA MAMA MJANE-NAOMI.
Wakweze Naomi walikubali Kwenda nae Bethlehem,ila Naomi aliwasihi sana wabaki maana walikua bado wadogo hivyo walipaswa waolewe nao wawe na familia zao.
Mkwewe mmoja(Opra) akakubalkubaki
Lakini mkwewe wa Pili(Ruthu) akakataa..akataka Kwenda na Naomi.
NAOMI
Alikua mwanamke aliyemjua Mungu wake,aliyeishi kwa Upendo na wakweze na kuwajali na kuwatendea mema.
Alikua mwanamke aliyemjua Mungu wake,aliyeishi kwa Upendo na wakweze na kuwajali na kuwatendea mema.
maana waliishi nae zaidi ya miaka kumi,na bado walitaka kuendelea kuishi nae
Hata ulipofika wakati wa kuachana nae ikawa ngumu.
FUNZO:
Mwanamke anayemcha Mungu hutachoka kuishi nae.
Kwa kuwa Moyo wake wakati wote umejaa upendo na ukarimu.
Mwanamke anayemcha Mungu hutachoka kuishi nae.
Kwa kuwa Moyo wake wakati wote umejaa upendo na ukarimu.
SURA YA PILI:
Naomi na Ruthu wamefika Bethlehem ni kipindi chmavuno
Lakini wao hawakuwepo nchini kwa miaka mingi hivyo hawakua wanacha kuvuna
Ikabidi waende kuokota masazo kwenye mashamba ya watu(ILIKUA DESTURI kwa Waisreal kuwa kipindi cha mavuno walipaswa kuacha mabaki ili wahitaji na wasiojiweza waweze kupita kuokota mabaki lau wajipatie chakula)

Hivyo Naomi akamwambia mkwewe Ruthu akafanye hivyo.
Ruthu akatii..
akaenda..kweli akapata masazo
akaenda..kweli akapata masazo
Na akaenda akiokota hadi akafika shamba la Boaz(ndugu wa Mume wa Naomi)
Ndipo Boaz katika kufanya Partol akamwona Ruthu..akauliza huyu nani!? Akaambiwa kuwa ni nkwewe Naomi Mke wa Nduguyo!
Ndipo akamruhusu kukusanya masazo katika shamba lake.
KESHO yake Ruthu akaruhusiwa kukusanya tena zaidi na akaambiwa asiende shamba lingine awe anakuja kukusanya shambani kwa Boaz tu



Na akakusanya masazo yapatayo EFA moja(sawa na ujazo wa njoo ya Lita 22)








lakini pia tunaona Boaz alikua tayari na CV ya Ruthu(2:11)
na habari ya Yale Ruthu aliyomtendea Naomi.
FUNZO:
Tusichoke kutenda MEMA kwa watu Mungu alioweka maishani mwetu..kwa sabbu hujui ni yupi Mungu atamtumia kama mlango wa Baraka kwako.
Tusichoke kutenda MEMA kwa watu Mungu alioweka maishani mwetu..kwa sabbu hujui ni yupi Mungu atamtumia kama mlango wa Baraka kwako.
Watu wanaambiana!
Unapotenda mema au mabaya kwa MTU,huwa anasema.
Naomi aliwaambia watu wa kwake Yale Ruthu aliyomfanyia japokua Ruthu hakujua lolote
Unapotenda mema au mabaya kwa MTU,huwa anasema.
Naomi aliwaambia watu wa kwake Yale Ruthu aliyomfanyia japokua Ruthu hakujua lolote
SURA YA TATU:
Naomi anamrudishia Ruthu 'fadhila'
Naomi anampa Ruthu 'mchongo' wa kutoka kimaisha


Ruthu anafuata maelekezo yooote bila kuongeza chumvi

Ila tunaona pia baada ya Boaz kuelewa ndipo anamwambia Ruthu kuwa atafanya kama ilivyodesturi.
WAKATI ULE mwanamke akifiwa na mumewe ndugu qa karib hununua like shamba pamoja na Mke na kuwamiliki.
Hivyo Ruthu Kwenda kwa Boaz usiku ilikua ni kutengeneza mazingira ya ile desturi kufanyika sawa na maelekezo ya mkwewe!
FUNZO:
Wema hauozi!
Naomi aliamua kumrudishia Ruthu wema.
Wema hauozi!
Naomi aliamua kumrudishia Ruthu wema.
Maandalizi yanapokutana na Fursa huzaa bahati
Ruthu alijiandaa kwanzia kwenye kutenda mema Mpaka kujiandaa kabla ya kuingia kwa Boaz====ndipo fursa ilipojitokeza,Ruthu akapokea sehemu yake
SURA YA NNE:
Ndipo Boaz akaitisha kikao cha kununua ardhi ya Naomi pamoja na yeye na mkwewe.

Ndugu aliyekua wa karibu zaidi kwa Elimeleki akakataa kununua,,ndipo Boaz aliyekua anafuatia kwa ukaribu,akakubali kulinunua!

akanunua shamba pamoja na Mali zake zote(Naomi na Ruthu) 
Boaz akamchukua Ruth kama mkewe,
Tangu siku ile maisha ya Ruth na Naomi yakabadilika


Boaz na Ruth wakajaliwa mtoto mmoja wa Kiume wkaamwita Obedi(amabe alikuja kuwa babu yake Daudi)
Na Naomi akawa mlezi wa Obedi mjukuu wake


Tangu siku ile maisha ya Ruth na Naomi yakabadilika
Boaz na Ruth wakajaliwa mtoto mmoja wa Kiume wkaamwita Obedi(amabe alikuja kuwa babu yake Daudi)
Na Naomi akawa mlezi wa Obedi mjukuu wake
BOAZ:
Alikua mtu tajiri sana,
Alikua na hekima, ( tunaona hakumwingilia tu Ruthu Bali alifuata desturi,pia alipoitisha kikao hakusema kama alimtaka Ruth Bali aliwaambia ni habari za kuuza shamba)
Alikua mkarimu ( alimruhusu Ruthu kuendelea kukusabya masazo shambani mwake)
========
MWISHO
========
~Na Mwl Minna.
Facebook: minna matee wa victor.
Watsap: +255 753 008 212
Watsap: +255 753 008 212
(Karibu katika program ya kujisomea Biblia, kama unataka kuwa sehemu ya kundi hili unaweza kuwasiliana nami kupitia email, Watsap au facebook address hapo juu)
Ahsante mtumishi nimebarikiwa sana na habari ya Naomi, Mungu akupe jicho l ualimu zaidi
ReplyDelete